Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1698480926729.jpg
 
Kuna msemo mmoja wa Kisukuma unasema hivi:

Gūchangīja īdīgūlumanga

Tafsiri yake ya haraka haraka ni kwamba "kukombelezea na mboga ni bora kuliko kula ugali kavu kavu"

Natumaini umenielewa mai dia dota 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Kuna mvutano mkubwa sana kwa kichwa😁😁😁

Kwa mbaaaaaliiiiii nimeelewa daddy
 
Flat screen mnatuandama mno hasa kanda pendwa🤣🤣
Mjukuu kasema kwamba kizazi cha sasa kiko vizuri sana. Kilichobakia ni matani tu kama ilivyo kawaida yetu Watanzania. Mvumilie kama sisi Wasukuma tunavyovumilia japo wakati mwingine inauma! 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Screenshot_20231029_103205_Gallery.jpg
 
Mjukuu kasema kwamba kizazi cha sasa kiko vizuri sana. Kilichobakia ni matani tu kama ilivyo kawaida yetu Watanzania. Mvumilie kama sisi Wasukuma tunavyovumilia japo wakati mwingine inauma! 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 2796556
🤣🤣🤣🤣🤣

Utetezi docom
 
Back
Top Bottom