Pisi za chuga huwa nazielewa sanaChuga oyeee [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji178][emoji846]
View attachment 2795801
Mdudu huyo
Sasa sie wa dakika mbili chali itakuwaje? mawardat na wewe nae mpaka dakika 16 ndio unafurahi kweli? Itabidi univumilie tuu na kibamia changu na mwendo wangu wa dakika 2.
Mbona sie wenye vibamia mnatuandama sana hii wikend
Which book is this?
Hata ikulu kwenyewe lazima kutakuwa na makorokocho kibao!😁
Sikuwahi kujua kuwa unapenda vimodo.ok
Kuna msemo mmoja wa Kisukuma unasema hivi:Sikuwahi kujua kuwa unapenda vimodo.ok
Mzima kabisa unasura nzuri lkn hiyo avatar si ww? 😀Sijambo,mzima wewe??