Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,461
- 829,854
- Thread starter
- #190,941
.Hiki kilikuwa chuma![]()
Modus Operandi (MO) ya big pharma. Wameharibu kila kitu (vikiwemo vyakula) ili wauze madawa yao (ambayo wanayo tayari tayari) 😬😬😬
Unfortunately the arrow of time only points forward. Ndiyo maana time travel inayowezekana kirahisi ni ile ya wakati ujao na siyo ile ya wakati uliopita...
Ni Afghanistan bila shaka. Jamaa wanaona kufa jambo la kawaida tu...