Wanasheria nguli wenye uzalendo.. Sisi tunachoweza ni kushinda njaa tu labda
Wale jamaa wa Tanzania wikileaks walisema eti ana kaakaunti mahali kameshiba dola za kutisha. Ndo wanaofaidi nchi hawa jamaa aisee.Huyu jamaa naamini ana hela kuliko hata bakhresa mark my words mkuu yaani ni mwizi lowkey yuko kama Rostam madili ya chini chini tu yaani. Mpaka akimaliza muda wake sijui itakuwa kachota trillion ngapi asee. Paah esther luxury, namungo fc, appartments, mashamba ndo usiseme, zile za mikopo yaani paah.
Acha tu yaani sema muda utaongea ndo maana forbes hawawekagi wanasiasa kwenye list zao.
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
Eeeh babu sio poa kabisa alafu akiulizwa anasema hana hata kampuni ya bajaji sema wanasiasa bana basi tu.Wale jamaa wa Tanzania wikileaks walisema eti ana kiakaunti mahali kameshiba dola za kutisha. Ndo wanaofaidi nchi hawa jamaa aisee.