Ahsante,a [emoji3059]Hongera, natural nzuri na hazina mambo mengi.
Pia ushungi huwa unawapendeza, ukute mdada ana sura soft na mwenye bashasha....[emoji7].
Sii ndio vizuri ili mawardat atoke hapo nyumbani kwao anawajazia choo bure tuuNyinyi mtakuja kulana siku moja wallahi 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Unavyoringa mwenyewe na tako lako skonsi 🤣🤣🤣🤣
Umeliona?[emoji16]Unavyoringa mwenyewe na tako lako skonsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti wewe sio mlezi wa wapweke [emoji23]Washauri wa ndoa wa JF bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706]
View attachment 2789217
#HayanagaMwongozo [emoji419][emoji419]