Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20231022-192831.jpg
 
Well bado nasita kuwaamini wanaume kwenye hili.

Nimesikia wanaume kadhaa wakisema hili, mmoja ni mtu mashuhuri tuu....

Nilikuwa nasemeshana nae kuwa nataka nikasuke, ila sijui nisuke style gani...
Akaniambia Kasinde, ukisuka twende kilioni utapendeza sana.....

Nikacheka halafu nikamwambia kwakweli niko simpo sana sinaga makuu, ila utii wa Rhoda nimeusuka miaka kadhaa nikiwa nasoma, kwasasa namuachia mama Mh. Pindi Chana.... akabaki anatabasamu tuu.

Moral of the story, men love beauty but natural beauty is loved more by men.

Vituko mitandaoni viendelee...🙂.
 
Vituko mitandaoni viendelee...[emoji846].
Mwenyewe nasuka hivyo na nywele zangu ni natural nzuriii[emoji23],nikienda suka saluni wanazitamani,

Sema mie hata nisuke basi ushungu per time[emoji16]
 
Back
Top Bottom