Sijaelewa vizuri hembu fanya ni jani gani hilo?? Inawezekana nikapata tiba.asante
Kaka mshanajr hii ni kweli??? Sijawahi ona hiii .nimeona kurasa za nyuma ukisisitiza hii .tupatie maelekezo kaka🤜
Hazina shida mimi nakulaga sana tunaitaga madogo/mazagaAngalia usije ukapata uraibu mjukuu mzab awe anakucheka! 😁