Akipata dharura kidogo tu anaanza kuomba omba kwenye Media,shenzi kabisa
Daah juzi kati tu yaani kuna family friends ya kiislam tulienda kudonate Muhimbili,then tukapitia Pork city Riverside pale karibu na Mikasa 😀😀😀
Huyu mwamba sijui kama anauwezo wa kutoa burudani Kwa hili fourty feet container