Hahahah ndio maana wakaachanaHuyu mwamba sijui kama anauwezo wa kutoa burudani Kwa hili fourty feet container
Ila tusifanye maisha kuyachukulia serious ivyo tutakwama mkuu
Nawewe kwanini ukubali kuingizwa sehemu isiyo husika unaendelea kutegesha?
Huu ni unyanyasaji wa kijinsia