Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20231015-WA0018.jpg
 
Tupate wapi kiongozi kama huyu? Anayerudisha hazina hela za umma alizobakiza baada ya kujinunulia vitabu? 🙏🏿

Nasikia hata Maalim Seif naye ana mikasa kama hii. Zawadi kubwa za pesa alizopewa huko ughaibuni lakini akafika na kuzikabidhi ikulu/hazina.

Wapumzike salama 🙏🏿

IMG-20231014-WA0039.jpg
 
Back
Top Bottom