mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,579
nofap ya lazimaš¤£Ubaya sasa hata wakuu wenyewe kule mjengoni pilau ndo zao. Hii itaumiza wengi!
Nadhani lengo ni kudhibiti na kutisha watu hasa kipindi hiki tunachoingia kwenye uchaguzi....