Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,484
Alijenga, ila angekuwa enzi zetu asingetoboa.
Maana wakati ule Wanawake walikuwa wanasuka twende kilioni tu, shilingi 500, siku hizi Wanataka kusuka nywele za 650,000 🤪
Alijenga, ila angekuwa enzi zetu asingetoboa.
Huo ni uwanja wa akina Mwamposa, Gwajima, Mwingira na huu utitiri wa mitume na manabii.Wakristo Israeli ni 1.9% tu na mwaka huu wahafidhina walipendekeza kupiga marufuku kutajwa kwa jina la Yesu kama Masihi.
Na Mwakasege siyo prosperity preacher. Huo ni uwanja wa akina Mwamposa, Gwajima, Mwingira na huu utitiri wa mitume na manabii. Mwakasege ni mwalimu!
View attachment 2781898View attachment 2781899
He is holding the real heaty! The other one inside him is an intruder.. May not cope with his body spiritually