Kuna watu wana akili za kuzaliwaNa hapo ni fake je angekuwa halisi ingekuwaje
Ropes za mwezi wa kwanzaKuna watu wana akili za kuzaliwa
Sio hawa wengine wanaingia kwa kubebwa hadi Mhe. RAIS juzi kasema kuhusu competence yao
Ila mwenyewe hujikuta ni genius sana 🙌Ropes za mwezi wa kwanza
🤣Ila mwenyewe hujikuta ni genius sana 🙌
Huyu atakuwa kasoma sheria sema sasa akaja kushindwa kwenye BAR exam kama vijana wetu wengi wanavyogaragazwa na mtihani wa TLS. Naona aliachana na hekaheka za kufaulu mtihani huo ili apate kibali cha kuwa mwanasheria akaona isiwe kesi. Kama amejifunza mwenyewe sheria basi atakuwa amefanya hivyo kwa muda mrefu sana na ana bashasha na uwezo mkubwa wa kuongea, mantiki na kanuni za kimahakama.Kuna watu wana akili za kuzaliwa
Sio hawa wengine wanaingia kwa kubebwa hadi Mhe. RAIS juzi kasema kuhusu competence yao
Ziro...na madeni juu 😁😁😁
Sahihi MkuuHuyu atakuwa kasoma sheria sema sasa akaja kushindwa kwenye BAR exam kama vijana wetu wengi wanavyogaragazwa na mtihani wa TLS. Naona aliachana na hekaheka za kufaulu mtihani huo ili apate kibali cha kuwa mwanasheria akaona isiwe kesi. Kama amejifunza mwenyewe sheria basi atakuwa amefanya hivyo kwa muda mrefu sana na ana bashasha na uwezo mkubwa wa kuongea, mantiki na kanuni za kimahakama.
Na naamini hiyo rekodi yake itakuwa imejazwa mubaalagha!