Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Pamoja na kutoa jasho lote hilo ila kuchapiwa bado kuko pale pale😂View attachment 2781481
#KuchapiwaHakuepukiki 📌📌📌
Ukiujua huu ukweli wala hutaumiza kichwa na hiyo gender. mzabzab, Mzee wa kupambania na Shimba ya Buyenze tulishaling'amua hilo mapema na hatuna siteresi kabisa yaani. Hakuna mwanamke wa peke yako hapa duniani!Pamoja na kutoa jasho lote hilo ila kuchapiwa bado kuko pale pale😂
come to the other side my friend,
Ubaya sasa hata wakuu wenyewe kule mjengoni pilau ndo zao. Hii itaumiza wengi!wamepiga panapouma😂
chama ndo kinakufa hivyo
dronedrake itabidi akubali ndoa
View attachment 2781845
Ubaya sasa hata wakuu wenyewe kule mjengoni pilau ndo zao. Hii itaumiza wengi!wamepiga panapouma😂
chama ndo kinakufa hivyo
dronedrake itabidi akubali ndoa
View attachment 2781845