Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pamoja na kutoa jasho lote hilo ila kuchapiwa bado kuko pale paleπŸ˜‚
Ukiujua huu ukweli wala hutaumiza kichwa na hiyo gender. mzabzab, Mzee wa kupambania na Shimba ya Buyenze tulishaling'amua hilo mapema na hatuna siteresi kabisa yaani. Hakuna mwanamke wa peke yako hapa duniani!

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
#UkichapiwaKausha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…