MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,765
- 150,488
Dah, umeshapata mtu mwingine sasa?kila mtu ni mbabe mnyonge amekosekana wa kumtafuta mwenzie
ndo nipo kwenye harakati za kumtafuta.Dah, umeshapata mtu mwingine sasa?
Cheki Kwa jirani Yako hapo au mwambie mtu akutaftiendo nipo kwenye harakati za kumtafuta.
TupoVituko mbona haviji aisee, wadau mmeenda wap tena.?