myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Amepanda kuchuma..
Amepanda kuchuma..
Sahihi ✔️Siyo wewe ni mamaView attachment 2763255
Sikajui hata,Wasanii wetu wanaopenda kuiga iga
JiraniSahihi![]()
Mh!! Sidhani hili..
Kulikoni hapo..
Huyo mhandisi huyoo.....
🤣🤣Jamani karibuni Maulid tugonge wali ndondoView attachment 2765231View attachment 2765233
Kweli kabisa hii...
Hatariii
🤣🤣Nilikaa Mbulu miezi miwili. Shughuli ilikuwa pevu. Utafikiri upo Uarabuni aisee halafu sasa maharage ya Mbeya. Nilipunguza kilo kadhaa. Ujana nyie acheni tu 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
✔️✔️Point ni zile zile...
Poor leadership
Corruption
Nepotism
Hostile neighboring societies
Maharage....n.k 😁