Haha[emoji23][emoji23]Nilikaa Mbulu miezi miwili. Shughuli ilikuwa pevu. Utafikiri upo Uarabuni aisee halafu sasa maharage ya Mbeya. Nilipunguza kilo kadhaa. Ujana nyie acheni tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aiseeeeee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]