Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_1695845822910.jpg
 
Mapacha hawa Lupita na Carmen ni wazaliwa wa Mexico na wamekulia nchini Marekani kwenye jimbo la Connecticut.
Mapacha hawa wenye umri wa miaka 22, ambao wanashea vingi kwenye umoja wao, wamekuwa gumzo Duniani baada ya mmoja wao kutangaza kuwa amepata "boyfriend". Habari kwamba ana boyfriend zimewasisimua wengi.View attachment 2765168View attachment 2765171
Huyo boyfriend ana roho ngumu sana,
 
Back
Top Bottom