Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

b0ea40deb6000db95b6138e9111a1990.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waende Endasaki, Mbulu, karatu na simanjiro wakaone pisi za kimburu na wairaq.
Nilikaa Mbulu miezi miwili. Shughuli ilikuwa pevu. Utafikiri upo Uarabuni aisee halafu sasa maharage ya Mbeya. Nilipunguza kilo kadhaa. Ujana nyie acheni tu 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom