Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Huyo mzee wa "ugali siyo chakula bado yupo?". Alikuja na mbwembwe lakini sasa hivi kimya. Hata kwenye hekaheka za kupinga bandari ya Dipiiweldi hakusikika.Hawa jamaa ndiyo watakaoisigina Arusha 2025.
Tusubiri tuone.View attachment 2764401