Abee[emoji3061]Mjukuu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu ukianza kuwashwa na mechi haikuchezwa basi unabakia kujikuna huku ukitukana tu [emoji16]
Maandishi hayasomeki!
Inabidi muwanunulie magari[emoji16]
Hsfu kweli[emoji16]Usually vimbaumbau ndiyo huwa vina hicho kimbelembele cha kutoa majibu ya hovyo. Hiyo SDY hapo pembeni imetulia tu inausikilizia mchezo. Vimbaumbau sijui tu vikoje [emoji51][emoji51][emoji51]
Nilikuambia njoo uchukue unichajie[emoji16], jua kali sana kizunguzungu.Upo njoo uchaji
Unazingua.Hata mimi niko hivyo[emoji2956]
Awanunulie Aliyewapa hiyo mizigo ohoo 😁😁😁Inabidi muwanunulie magari[emoji16]
Mununue nyie mnaopenda hayo mazigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Awanunulie Aliyewapa hiyo mizigo ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]