Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Hata uwe unalala gym kama ulaji wako ni wa hovyo ni kazi bure! 🚮🚮🚮
Wenyewe wapo hapa!
Wamekwiba barani AfrikaUFARANSA IMEKUWA NI NCHI YA NNE DUNIANI KWA KUWA NA HIFADHI YA DHAHABU DUNIANI WAKATI HUO NCHI HIYO HAINA MACHIMBO YA MADINIView attachment 2678929
Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba ya Buyenze.
Rafiki yako Rukia amepotelea wapi
Inataka moyo sana!Ujumbe wa mchana View attachment 2763913
Kwa mujibu wa huo utafiti, hiyo pombe ananunua wapi?Nzi dume hupatwa na stress kama akikataliwa na jike kujamiiana. Utafiti unaonesha "huwa na kawaida ya kunywa pombe ili kuondoa stress baada ya kukataliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app