Kazi kweli kweli
njoo uishi mbeya na mimi mpenzi huku umeme haukati na kuna upepo mwananaKwetu washakata umeme[emoji34]
Kama unakula chips yai, tomato nyingi na soda hata uende gym kazi bure[emoji16]Uvivu wa kuingia Gym
Lakini January anapata faida.
Mbeya umeenda lini?njoo uishi mbeya na mimi mpenzi huku umeme haukati na kuna upepo mwanana
wakike au wakiume?Nikuunge na dogo