Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,698
- 1,333
Huyu ni nan mbn picha zake zinajirudia sana uku
You lose nothing for being loyal. That's always the right thing to do. It is called self respect. Integrity. Ubinadamu...
Akikosea akavutwa kwenye injini, anaweza kusababisha hatari kubwa
Polepole tu mpaka na uchawi wa Kiafrika utafundishwa mashuleni. Teknolojia halisi ya Mwafrika!
Kuachwa kunauma we kusikie tu 😁😁😁
Halafu ukianza kuwashwa na mechi haikuchezwa basi unabakia kujikuna huku ukitukana tu 😁
Ila kweli aisee. Ni usumbufu tosha wa kupigiwa miluzi na mabaharia mtaani
Usually vimbaumbau ndiyo huwa vina hicho kimbelembele cha kutoa majibu ya hovyo. Hiyo SDY hapo pembeni imetulia tu inausikilizia mchezo. Vimbaumbau sijui tu vikoje 😬😬😬
Huyu ndiye afande aliyeachia hii connection? 😳