Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwanzaaa
0ac05f6815d5110692ede21cea77e3dc.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku wametukamata hatuchomoi na kikwazo kikuu ni utumwa wa kifikra.Hatuko huru kuwaza mbele au tofauti na dini tulizokua nazo.

Kumbe dini ni dini na Mungu ni Mungu.

Hapo kabla nilivyoanza kazi nilikua na hari sanaa ya kujua habari za ibrahim na uzao wake (asili ya kazi nakutana na mataifa tofautofauti).

Wa israel nakutanao wengi tuu kwa mara ya kwanza( wanaoishi sehemu tofauti tofauti duniani)ila hawa walitokea jerusalem nilifurahi sanaa nikasema nimekutana na ndg zake Yesu kuuliza kila mtu na majibu yake,wengine hawamjui, wengine n wa hebrew,wengine wanadai hajawai kuja messiah wao wanamsubiri,wengine wanafuata torati la Musa.
Mpaka nmefikia conclusion niliwaoji wengi sanaa niliofanikiwa kukutana nao.Mi nikaitimisha kuna taasisi (dini) alafu kuna Mungu.
Nimefurahi sana uliposema kuna dini na Mungu.
Dini na Mungu ni vitu viwili kabisa, na hata huyo Mungu anatajwa kwenye dini yaweza kua ni tofauti sana uhalisia wa Mungu .

Ukweli unabaki yupo mmoja mwenye nguvu , uwezo mariifa na upeo wa juu sana ambaye alifanya ulimwengu kuw jinsi ulivyo, tunaweza kumuita vyovyote lakini tubaki na hilo la mazoea la Mungu.

Watu wa dini wamemmiliki Mungu, kwamba Mungu ni wao, yoyote anae amini Mungu tofauti na wao basi anaitwa majina mabaya!

Watu wa dini hawana upendo, ni wabaguzi na wenye roho mbaya kitu ambacho u Mungu hauna.
 
😂😂😂Ni hivi yani kwa lugha rahisi Mungu ni cheo cha juu kabisa ambacho hakuna kiumbe chochote kinafananishwa nae.

Ndio maana ana majina mengi ila mwisho wa siku yey
😂😂😂Ni hivi yani kwa lugha rahisi Mungu ni cheo cha juu kabisa ambacho hakuna kiumbe chochote kinafananishwa nae.

Ndio maana ana majina mengi ila mwisho wa siku yeye ndio anamaanishwa.

Sasa linapokuja suala la kumtukuza,kumuabudu mimi siko kwenye izo taasisi (christian, muslim, hindu,butha etc)wala sijaji categories kwamba ni mpagani la hasha ni kwamba nafanya matendo mema (amri kumi ndio dira) na hazina haki miliki kwamba ni za dini flan so hauwezi kuzitumia.
Mfano mdgo kabla ya mapokeo ya hizi dini mababu wababu zangu walizitambua /kutambua nguvu kuu"eka ruwa".ikimaanisha ahsante Mungu .
Umenikumbusha hilo neno eka Ruwa, bibi yangu aliniambia alibatizwa akiwa mkubwa wa umri miaka ya 1920 nadhani, kabla ya hapo hawakua wanaijua ukristo ila walikua wanaamini Mungu ambaye ni Ruwa, na walikua na misemo ya kumtukuza Mungu kabla ya ujio wa dini ya ukristo mfano 'Ruwa mndumii' ni neno la kumtukuza Mungu , walikua walitamka hivyo hata miaka mia kabla ya kuja kwa ukristo.
 
Back
Top Bottom