Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Mayoungie wa Chuga mtawezana na magimbi? 😁😁😁mizizi kama magimbi, viazi, mihogo nk
Mayoungie wa Chuga mtawezana na magimbi? 😁😁😁mizizi kama magimbi, viazi, mihogo nk
kwani madaktari wanasemaje😁
magimbi nimeyashindwa aisee😂Mayoungie wa Chuga mtawezana na magimbi? 😁😁😁
Huyo mama pia ni daktari. Wote wanakubali kuwa wali mweupe na sembe ni hatari kwa afya yako hasa mwanaume 😁kwani madaktari wanasemaje😁
Umeamua kufokasi kwenye mbususu tu? 😳magimbi nimeyashindwa aisee😂
ila nimejitahidi sinywi pombe, sivuti kitu
wewe hutumii kabisa? naskia mchele wa brown ni ghaliHuyo mama pia ni daktari. Wote wanakubali kuwa wali mweupe na sembe ni hatari kwa afya yako hasa mwanaume 😁
hamna, naogopa uraibuUmeamua kufokasi kwenye mbususu tu? 😳
Mi nakula karibu kila kitu just in moderation. Ukiwafuata hawa watu wa lishe hutaweza kuishi 🚮🚮🚮wewe hutumii kabisa? naskia mchele wa brown ni ghali