ntatafuta anaechukia unenemshamba_hachekwi ...kama nakuona utakavyonuna mkeo akitukunyemeka na kuwa SDY 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2761446
Motoka yange 😭😭😭😭Boss ingia whatsapp kuna picha nimekutumia..View attachment 2761684
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Wasukuma. Kale makande yako huko utulie 😁😁😁
What voices?
watu kumi leo watatoa sadaka ya kujimalizaWhat voices?
Kama za mitume na manabii?
Kila leo Mungu kaniambia hivi, Mungu kaniambia vile ...watu kumi leo watatoa sadaka ya kujimaliza![]()


