Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna vitu viwili dini na Mungu ila sisi tumeaminishwa Mungu anapatikana ndani ya dini tuu.

Au wewe labda hauamini kwamba kuna mkuu mwenye mamlaka,m niko tofauti naamini yupo na nafuata amri kumi.
kila 'mungu' ana dini yake ukishaamini basi unaingia humo kwenye dini,

hapa ndo waafrika tunapokua wanafki, tunaona matatizo ya dini ila tunashindwa kuacha😂

labda kama unaamini kuna mungu mahali ila hana jina, hajaandika kitabu, hajulikani.... hapo sawa
 
😂😂😂Ni hivi yani kwa lugha rahisi Mungu ni cheo cha juu kabisa ambacho hakuna kiumbe chochote kinafananishwa nae.

Ndio maana ana majina mengi ila mwisho wa siku yeye ndio anamaanishwa.

Sasa linapokuja suala la kumtukuza,kumuabudu mimi siko kwenye izo taasisi (christian, muslim, hindu,butha etc)wala sijaji categories kwamba ni mpagani la hasha ni kwamba nafanya matendo mema (amri kumi ndio dira) na hazina haki miliki kwamba ni za dini flan so hauwezi kuzitumia.
Mfano mdgo kabla ya mapokeo ya hizi dini mababu wababu zangu walizitambua /kutambua nguvu kuu"eka ruwa".ikimaanisha ahsante Mungu .
 
😂😂😂Ni hivi yani kwa lugha rahisi Mungu ni cheo cha juu kabisa ambacho hakuna kiumbe chochote kinafananishwa nae.

Ndio maana ana majina mengi ila mwisho wa siku yeye ndio anamaanishwa.

Sasa linapokuja suala la kumtukuza,kumuabudu mimi siko kwenye izo taasisi (christian, muslim, hindu,butha etc)wala sijaji categories kwamba ni mpagani la hasha ni kwamba nafanya matendo mema (amri kumi ndio dira) na hazina haki miliki kwamba ni za dini flan so hauwezi kuzitumia.
hii nzuri
 
07b3f7763dbb11bc3cc64663f79c1f99.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom