Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1694150405146.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Dada Angu Acha Nikufunze Jinsi Ya Kusimamisha Matiti Yako Ili Yaache Kulala.👇👇

(1)Chukua Limau Ambalo Limeiva Na Ulikamue Upate Maji Yake.

(2)Kwa Kutumia Kinu Pondaponda Tangawizi Mbichi Ukichanganya Na Maji.

(3)Changanya Tangawizi Na Maji Ya Limau Pamoja.

(4)Chukua Kitunguu Saumu Ukiponde Na Utie Kwenye Mchanganyiko.

(5)Ni Vyema Upate Sukari Guru Ila Ata Sukari Ya Kawaida Pia Inafaa.

(6)Sasa Washa Moto Wako Na Ueke Sufuria Iliyokuwa Na Mchanganyiko.

(7) Subiri Kwa Muda Wa Nusu Saa Kisha Utoe.

(8)Sasa Mungu Ndio Alilalisha Matiti Yako Na Wewe Kiherehere Unataka Yasimame Kupitia Uongo Uliousoma Apo Juu.

(9)Dadangu Kubali Matokeo Ya Kuwa Ushazeeka Na Huwezi Kusaidika Shenz sana.
🤣🤣👆👆🤣
 
Back
Top Bottom