The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,340
- 11,833
😂😂
Kuna mtu unamsemea,nimehisiWeee unajua nani namuongelea hapo

Ulivyoigongelea sasa100%
️
️
️
![]()



Imagine jana nimehonga 30k afu sahivi sina hela ya lunch, breakfast nimeskip. Ngoja nijitafute aisee





Thawa,Leo Dada Angu Acha Nikufunze Jinsi Ya Kusimamisha Matiti Yako Ili Yaache Kulala.
(1)Chukua Limau Ambalo Limeiva Na Ulikamue Upate Maji Yake.
(2)Kwa Kutumia Kinu Pondaponda Tangawizi Mbichi Ukichanganya Na Maji.
(3)Changanya Tangawizi Na Maji Ya Limau Pamoja.
(4)Chukua Kitunguu Saumu Ukiponde Na Utie Kwenye Mchanganyiko.
(5)Ni Vyema Upate Sukari Guru Ila Ata Sukari Ya Kawaida Pia Inafaa.
(6)Sasa Washa Moto Wako Na Ueke Sufuria Iliyokuwa Na Mchanganyiko.
(7) Subiri Kwa Muda Wa Nusu Saa Kisha Utoe.
(8)Sasa Mungu Ndio Alilalisha Matiti Yako Na Wewe Kiherehere Unataka Yasimame Kupitia Uongo Uliousoma Apo Juu.
(9)Dadangu Kubali Matokeo Ya Kuwa Ushazeeka Na Huwezi Kusaidika Shenz sana.
![]()

Acha kujistukia bwana kwani weye peke ndio mwenye tako skonsi 🤣🤣🤣🤣Kuna mtu unamsemea,nimehisi![]()
Fanya mambo yako, hakuna mtu anayetaka busara zako feki hapa📌📌📌📌100%✅️✅️✅️👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼