Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_16941092874892680.jpg
 
Saikolojia ya Mwanamke;

1. Mwanamke akisema "Tuachane kwa muda"

Anamaanisha "Nataka kulala na mwanaume mwingine kwa sasa"

2. Mwanamke akisema "Wanawake na wanaume wanatakiwa kuwa sawa"

Anamaanisha "Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa"

3. Mwanamke akisema "Nataka mtu wa kunipenda na kunijali"

Anamaanisha "Nataka mtu anayeweza kunihudumia"

4.Mwanamke akisema "Nakupenda"

Anamaanisha "Naamini utanipa kila ninachokitaka"

5. Mwanamke akisema "Yule ni rafiki yangu tu"

Anamaanisha "Nitalala naye muda wowote ukinikera"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom