Cheka kidogo ankali



jamani, Nimefrahi kukuona tena,We mtoto,ulale ukue.usiku mwema mchumba
nimesharefuka huku chini inatosha😬We mtoto,ulale ukue.
Pole sana kwa kimya kile.jamani, Nimefrahi kukuona tena,
Maana uliogopesha na kujaa kimya Kwako,

. NipoAiseeBange tamuView attachment 2728965
Hiki kitoto ndicho walichosema kimemuua mshikaji!!



🤣🤣Kaa mbali View attachment 2728943
Alipotea sana..Dah!
Uko hai ndugu yangu?
Nilishakuulizia kila kona...Mzee wa Mwakaleli mpaka akaniahidi kuwa atajaribu kukutafuta.
Karibu tena aisee. Mungu ni mwema na natumaini kila kitu kiko salama 🙏🏿
Mama wa mtoto huyu ndiye mwenye kesi ya kujibu
Vigumu hivyo....kucha havilali🤣
🤣🤣Women are powerful and strong!View attachment 2728487View attachment 2728488