Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mambo ni shwari. Majukumu yalilazimisha nikae mbali na mtandao pendwa . Nimerudi tena kucheka na kuchekeshana.Dah!
Uko hai ndugu yangu?
Nilishakuulizia kila kona...Mzee wa Mwakaleli mpaka akaniahidi kuwa atajaribu kukutafuta.
Karibu tena aisee. Mungu ni mwema na natumaini kila kitu kiko salama [emoji1545]
Karibu sana aisee!Mambo ni shwari. Majukumu yalilazimisha nikae mbali na mtandao pendwa . Nimerudi tena kucheka na kuchekeshana.
Waziri mwandamizi Mwigulu Lameck
Asante sana mwamba. Hapa Jf kimeongezeka na kupungua nini kwa muda takriban mwaka uliopita?Karibu sana aisee!