#UNAAMBIWA Mnyama ambae hadi sasa anashikilia rekodi ya dunia ya kutomuogopa Mnyama yeyote, Mtu au kitu chochote kile anaitwa Nyegere (Honey Badger), ana uwezo wa kuanzisha ugomvi na Binadamu au Wanyama wakali kama Simba, Nyoka wakubwa wenye sumu kali na wengine bila woga na akashinda.
Nyegere ana wivu usio na kipimo kwa jike lake hasa anapokuwa mawindoni akitembea nae na hata jani likimgusa Jike atalikata kwa hasira, hii yote ni kuonesha ubabe wake kwa jike kutokana na majike kuwa na tabia ya kuchagua madume mengine yenye nguvu zaidi.

@tanzaniaparks
View attachment 2728479