Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,384
- 829,650
- Thread starter
- #176,421
Bongo ukifa kwa stress umependa mwenyewe 
MASHA LOVE AINGILIA KATI UGOMVI WA ZUCHU, GIGY NA MANGE KIMAMBI.
"We Mange Kimambi koma koma koma paka mweusi unapenda sana kutaja jina la Boss wangu Zuchu usokula chakula ukanenepa mwili ,unakaa Marekani lakini kama unakaa Tandare kutwa wigi moja tu bwanaaaaaaa acha kutaja jina la Boss wangu Zuchu endelea kudanga huko Marekani"
"Na wewe Gigy Money usijitie ukichaa usiokuwa nao unatamba mbele za watu umetembea na Diamond Platnumz, Simba hatembeagi na wanawake wachafu tena wanukanuka kama wewe Gigy, alafu Gigy unafosi sana kugombana na Zuchu mara nyingi sana unamuongelea vibaya Zuchu na Zuchu nimeshamwambia Gigy akupendi anakasirika wewe kutembea na Simba, Boss uwe unanisikiliza jamani siletagi taarifa za uongo kwako mimi nakupenda kutoka moyoni"-ameandika Masha Love Masha Manyonyo.