Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1633180431368.jpg
 
Sema wanangu kuweni makini na wanawake mnaozaa nao nimeona kivumbi cha instagram leo. Duuh sio poa Mungu atusaidie kwa kweli kimambi she's 43 now 🤭🤭🤭 lakini anavyo act ni kama mtu ambaye yupo psychologically fucked. Sijui in the coming 20 years watoto wake wakiona upuuzi wa mama yao itakuwaje na uzuri mitandao haisahau. My fellow men be careful msije kusema hamkuambiwa sio kila mwanamke ni wa kuzaa naye na kama umemtia mimba mwanamke mjinga mjinga na mdangaji ni bora uitoe hiyo mimba haraka mtoto wako asije kukulaumu hawa mastaa wa kike sijui watoto wao wanawachukuliaje hasa hawa watoto wa kiume it's a shame.

Najua hainihusu na haiwahusu ila leo nimeamua nifunguke kidogo 😁😁😁😁😁 na kumbukeni tu watoto wanarithi 70% of there brain from mothers.

#watch out#
download.jpeg
 
Back
Top Bottom