Duuuh
BREAKING: Mmoja wa wanafamilia ya Wangwe aishiye jijini Mwanza amevamiwa usiku wa leo na kuuwawa na watu wasiojulikana kwa kukatwakatwa na mapanga. Familia ya Wangwe inahusika na waliofungua kesi kupinga mkataba wa DP World.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau mwamba hakujua hata lugha!