Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,500
- 35,659



Hiki kitu sijawahi kuamini,flaps 200 kwa sekunde??ni kweli hii?
Noma sana porn addicted
Mungu Awabariki. Historia itawakumbuka...na akina Kitenge pia 🙏🏿Fikiria kodi za watanzania zinatumika na mawakili wa serikali kuwatetea waarabu wa Dubai wanaopora bandari zetu,halafu mawakili wasiokuwa wa serikali na wala hawalipwi chochote na serikali ndio wanatetea bandari zetu zisiporwe kwa gharama zao. Nimewaza sana mpaka nimetoa machozi
MdudeView attachment 2677905
Sent using Jamii Forums mobile app