Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hamjawahi kueleweka mnataka nini!

Screenshot_20230703_090536_Instagram Lite.jpg
 
Liked by kigogo_kigogo and 16,612 others

millardayo Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa.

Utafiti wa Madaktari hao umechapishwa kwenye Jarida la kimataifa la Case za Upasuaji (International Journal of Surgery Case Reports, 108(2023)108415) ambapo wameripoti kufanya upasuaji wa kuunga uume wa Kijana mwenye umri wa miaka 27 uliovunjika wakati akijamiana na Mkewe.

Kwa mujibu wa taarifa ya utafiti huo, ajali ya kuvunjika uume si suala lenye kujitokeza mara kwa mara, lina uwiano wa 1 kati ya Watu 175,000.

Hata hivyo, utafiti huo unadokeza kuwa tafiti zilizofanyika katika Mataifa ya Ulaya na Marekani zimeonesha kuwa asilimia 93.3 ya ajali za uume hutokana na kujamiiana, ambacho kilikuwa chanzo cha ajali ya uume aliyoipata Kijana aliyetibiwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.

Vilevile, ajali za kuvunjika uume kwa kujichua (Punyeto) zinashika nafasi ya pili zikiwa na asilimia 10 huku mikao ya kujamiiana kama vile Mwanamke kukalia uume inatajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali za kuvunjika uume. #Millard AyoUPDATES

View all 3,135 comments oscaroscarjr Elewa neno Uume!

dahuuofficial Mkubwa @iosemarah usiseme
IMG-20230704-WA0072.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAMNA

PEROXIDE HYDROGEN HUONDOA WEUSI

Peroxide ya hidrojeni itayeyusha weusi na kuwaondoa kwenye ngozi yako.

Unayohitaji kufanya ni exfoliate, na kisha kutumia pamba, kusugua maeneo yaliyoathirika na ufumbuzi wa sehemu sawa ya peroxide ya hidrojeni na maji.

Baada ya muda, utapata ngozi inayong'ara na kung'aa.
23403cbec12a22cf2034de64fe63d43d.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom