2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
Sio kweli hata iwejeHiki kitu sijawahi kuamini,flaps 200 kwa sekunde??ni kweli hii?
hizo zote ni potein safi sana
Wanaosema, "utamaliza bucha, nyama ile ile.." nyama haziko sawa banaa,kuna nyama kadha wa kadha.... iko nyama teke, nyama chukuchuku, nyama kavu, nyama iliyonona, nyama ya nundu .....n.k.
