Sasa kama hivyo kwa nini mnataka ndoa wakati mnaweza ewa hela na kupeana utamu tuuJibu ni A
Ndoa ni kuishi na mtu unayempenda. Kwangu naona umuhimu wa ndoa, staki kuwa mpweke mimi nikizeekaSasa kama hivyo kwa nini mnataka ndoa wakati mnaweza ewa hela na kupeana utamu tuu
Acheni somjo hapa nyie wanawake hampendi mnataka matunzoNdoa ni kuishi na mtu unayempenda. Kwangu naona umuhimu wa ndoa, staki kuwa mpweke mimi nikizeeka
Ni kawaida. Mume amtunze mke, hata mpenzi lazima anihudumie kama hataki apite hivi 👉Acheni somjo hapa nyie wanawake hampendi mnataka matunzo
Ewaaa sema huduma sio kwamba mnapenda.Ni kawaida. Mume amtunze mke, hata mpenzi lazima anihudumie kama hataki apite hivi 👉
Unaishije na mtu usiyempenda maisha yako yote? Mapenzi yapo na huduma ni lazima.Ewaaa sema huduma sio kwamba mnapenda.
Ah wee kwa nini ushindwe wakati huduma unapataUnaishije na mtu usiyempenda maisha yako yote? Mapenzi yapo na huduma ni lazima.
Naishi na ninae mpenda.Ah wee kwa nini ushindwe wakati huduma unapata
Eeh kumbe umeolewa tayari😲😲😲Naishi na ninae mpenda.
USM ALGER mkeo yanga anakusubiri ukampe bao 3. 😄😄😄MWEZI HUU WA SITA KUNA WATU WAMESHAZINI
MmMambo hayo......
Hapo unashiba hata chungu hakijaiva...😋 kitambo sana kaka