Hooooovyoooo!Mvua Kubwa Inaendelea Nchini Algeria, na Kwa Mujibu wa Utabiri wa Hali ya Hewa Imetajwa kuwa siku ya Kesho itakuwepo Mvua Kubwa Zaidi Yenye Ngurumo na Radi
View attachment 2644572
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama, of course ✅️✅️✅️
Mambo ya Telegram hayo eti huduma inbox wakati pisi ya South Africa huko. Vijana mnapigwa sana 😁😁😁Naogopa ukimwi, gono, na laana
Hii baridi najua itapita na wengi, mi nacheza bolingo tu, huu msimu wa baridi, michezo ya chini sipo huko kwa sasa.
Mkuu ukimwi upo kaa chonjo mkuu,
Shimba ya Buyenze vitu vyako 👇👇👇👇👇👇👇👇
View attachment 2644570
mshamba_hachekwi mi nipo huku 👇👇👇👇👇👇
Bolingo tamu asee
View attachment 2644571
😅😅😅😅😅 Wanawekeza kwenye kula tunda tu,Mambo ya Telegram hayo eti huduma inbox wakati pisi ya South Africa huko. Vijana mnapigwa sana 😁😁😁
View attachment 2644623
View attachment 2644622
View attachment 2644621
View attachment 2644620
View attachment 2644619
....ila nikupongeze kwa kuogopa UKIMWI, gono na laana. Utafika mbali maana vijana wenzio wa rika lako hawajali lo lote yaani....
Nice to see again loving sisterWapendwa wa jukwa letu hili mnisamehe sijaingia humu nina muda ila naona like nyingi jamani. Hebu nikumbushe ni kapicha gani nilicomment?
! Shikamoo Dada.. Karibu tena jukwaani