YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Exactly, mkuuMbona umerudi ukiwa mnyong'onyefu sana ndugu yangu? Wamekufanya nini? Mbona bashasha zote hakuna? Wamekukataza kulima watu dislikes?
Kazi yangu imeisha hiyo, lengo ilikuwa ni kuwa maarufu
Na of course hawataki nitoe reaction, ila sina shida nao
Lengo limetimia lakini