Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
🤨🤨🤨🤨 MmmmhNimesharekebisha fasta! 😁😁😁
Ila nikiishia kutukanwa unalooo!
We hupendi kwani, nilitamani nimtag mtu ila nikavunga tu, 😆😆😆punguza fantasy bro 😂
Asante babu, 🤚🤚🤚Karibu tena dogo na pole kwa kifungo 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
umemaliza test sio unakesha humuWe hupendi kwani, nilitamani nimtag mtu ila nikavunga tu, 😆😆😆
Mbona umerudi ukiwa mnyong'onyefu sana ndugu yangu? Wamekufanya nini? Mbona bashasha zote hakuna? Wamekukataza kulima watu dislikes?🤨🤨🤨🤨 Mmmmh
Haven't seen u for a long while. Welcome back 🤜Asante babu, 🤚🤚🤚