Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Imekuwa vigumu sana. Sababu ya hizi simu people have lost the ability to have meaningful and attentive conversations. Unatoka na mtu out ukidhani kuwa mtapata quality time muongee lakini kila dakika yupo kwenye simu yake. Sad

Screenshot_20230602_222626_Instagram Lite.jpg
 
Kama ni hivyo dada zao wasingejaa mwananyamala.
Hiyo ni ishu nyingine!

Maana Ph.D hazina uhusiano wa moja kwa moja na ustawi wa kiuchumi. Ndo maana ukifika tu pale stendi kuu mjini Bukoba unaona kuwa kuna kitu hakiko sawa japo huko vijijini ndani ndani wamejitahidi 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

IMG-20230529-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom