Tutakula uaminifu? Wanaume wengi kama si wote wanacheat. Mnipe tu mwenye hela.
Wasukuma bana 🤣🤣🤣🙌
Kataa Ndoa. Yaani samaki ninunue mimi hafu nipigwe?
Sasa kama tunacheat kwa nini mnataka ndoa sii tuzangamuane tuu?Tutakula uaminifu? Wanaume wengi kama si wote wanacheat. Mnipe tu mwenye hela.
Uzinzi sio poa.Sasa kama tunacheat kwa nini mnataka ndoa sii tuzangamuane tuu?
Sasa lakini sii bado tunaendeleza tuu tukiwa kwenye hizo ndoa
Mbona balaaa hilo sasa kama mwataka vyote. Aisee ndoa mtaipata paradiso kwa style hiyoHakuna Bora hapo sie tunatak vyote
Wee mzee wa kataa ndoa hukosi visingizio.Sasa lakini sii bado tunaendeleza tuu tukiwa kwenye hizo ndoa
Unyonyaji tuu huo. Jitu zima na akili yake eti uliloshe ulivalishe na ulitombe vizuri in return u get dissapoints and mistrust. Hapana kwa kweli, nyie endeleeni tuu wacha tusubirie robot la elon
Pole.Unyonyaji tuu huo. Jitu zima na akili yake eti uliloshe ulivalishe na ulitombe vizuri in return u get dissapoints and mistrust. Hapana kwa kweli, nyie endeleeni tuu wacha tusubirie robot la elon