Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Poleni!

Screenshot_20230602_143309_Instagram Lite.jpg
 
Wahaya wanajifanyga watu Bible kwa Kula Nzige jrs
Tena hapo huwaambii kitu na Ph.Ds zao. Kwanza ndiyo wanakwambia ensenene zina protini maalum zinazosaidia katika ukuaji wa haraka wa ubongo wa mtoto. Ukijumlisha na Omega fats wanazozipata kwa kula samaki wenye mafuta mafuta hasa emboju basi darasani ni moto wa kuotea mbali 😁😁😁

IMG-20230530-WA0031.jpg
 
Kama ni hivyo dada zao wasingejaa mwananyamala.
Tena hapo huwaambii kitu na Ph.Ds zao. Kwanza ndiyo wanakwambia ensenene zina protini maalum zinazosaidia katika ukuaji wa haraka wa ubongo wa mtoto. Ukijumlisha na Omega fats wanazozipata kwa kula samaki wenye mafuta mafuta hasa emboju basi darasani ni moto wa kuotea mbali 😁😁😁

View attachment 2643990
 
Back
Top Bottom