Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230520-233959.jpg
 
Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*
 
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Unapotupa "DISLIKES" mbona huwa hatukimbilii police Ila tunapotezea tu?

ila PUNGUZA EMOJI.

#YNWA
 
Back
Top Bottom