Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mankaaaaaaaaaa! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

IMG-20230518-WA0018.jpg
 
Bro inaonekana wewe ni Limbukeni na "Mshamba sana wa mapenzi" na pia si mzima either ni muathirika wa kuakili na kichwa hakijakaa sawa either u Mlemavu wa viungo vy mwili na akili au upo kwenye umri wa kuendeshwa na balehe nq ujana wa 20's-30's pia una "pepo la ngono" linaloenda kuendesha maana sio kawaida. Toka niione na kuijua hii ID humu JF huna thread au comment yoyote ya maana zaidi ya kuandika issue za "ngono". Yaani from nowhere hata uzi uwe wa Mpira, comment yako ni lazima ihusiane na ngono. Samahani kwa hilo lakini ila badilika mkuu. Usiabudu ngono kiivyo bro.
relax mkuu, kwenye maisha halisi unaweza kuta mzab hajawahi hata kuona mbususu
 
Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*
Mpira hauko hivyo.....na lojiki yako imeparaganyika....Yanga ndiyo timu bora kwa sasa. Hutaki kaogelee baharini utokelezee kwa akina Angel Nylon ukafakamie urojo huko mpaka akili zikukae sawa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ฌ

Screenshot_20230518_174718_Instagram Lite.jpg
 
We si nilitaka nikuonyeshe ukakimbia
Mi mwoga ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
 
Back
Top Bottom